Realflick - Lollypop parody 2
0:00
0:00
Okay street natokea Bakaran Halaf Real flick napendaga Matan Wacheck last week nilikua sina plan Lakin this week full Burudan Patana na huyu chick anataf'na Uban Nkatoka nae Beach Str8 Nyumban Tulipofika street str8 kitandan Akaniambia flick!!! akasema ataka Lollypop mhhh akasema ataka Lollypop oh tukiwa mtaa au tukiwa club Daily tunaryde si hatuna wasi tukiwa club oh tukiwa mtaa au tukiwa club Kweli ni mastar si hatuna wasi tukiwa club
You may also like

Leave a comment
See track description ↑