Thas boy28
Thas boy28

usije mjini

usije mjini

5 Plays

16 May 2023

99 katikati hapo kati nilizaliwa mtoto wakiume mama aka barikiwa kabla yakunipa ziwa ninyonye akanipa jina akanita mathias wakati hakukua na father wala shangazi labda anko kwa na shahidi mwenyezi kwa mapenzi nika kua kuhusu shule haa hakuna kitu nilikua najua nikamaliza la7 tena kimagumashi shule ya msingi mpare pale kweulasi nikakaa kitaa akili ikawa haisomi hatanikipiga kiki plagi ikawa haichomi nikaona korogwe miyeyusho nikaibuka daslam kz ya kuuza mgahawa tangawizi ugal mchana ucku ni.kahawa nikapiga kz siku mbili.ile siku ya tatu natoka mlangoni nakuta begi langu na viatu nauliza shida nn boss anakuja juu chukua kilicho chako ujikatae nisikuone kwanzia ss hata na badae nikaomba msamaha bila ya kujua kosa alikataa katu katu kuna mzee alikua ana pita akaniita nika msogelea pole sana kijana kwa hili lililokukuta twende kwangu ujishikize utakata kata mauwa na geti kufungua tukafika kwake akaniambia skiliza kijana hapa mjini watu hawachagui kz kikubwa umeki misimbazi namiliki baa na gest tugawane kz niuze baa uuze gest nikaitika sawa nikaanza piga kz kuna wateja niwashenzi shuka lakujifunika wanalifutia ushenzi siku zikawa zinasogea ukakatika mwezi kz ikaanza kuizoea wakaja wajukuu wa yule mzee wakaleta leta mate mpaka nika kosa kz nikarudi tena mtaani sikua na pakula wala pakulala hapo ndo nilipojua kumbe life ni msala nikaingia kwenye love pamoja nakulala nnje monica akawa ana nifariji sikumoja yatapita jikaze bby hizi changamoto za maisha sometimes nafulia ananipa pesa yakula nikawa nazurura leo tandika kesho kigogo hiingoma naiandika yalionikuta sio madogo km hauna kz hauna ndugu usije mjini

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like