Ghost story

137 Plays

β€’

12 months ago

ilikua n sunday jioni nmepiga luku ya kishua nkatoka zangu kwenda maskani ili kushtua nkafika bila kesi ka dobi mwenye kufua nkakuta madogo zangu stori wanachakachua miamba nkagotea alafu chini nkakaa tkaendea piga gumzo la uongo ulozagaa mara dah akapita binti ungemuona ungeshangaa urembo kaupitiliza mi nkabaki nmezubaa wanangu wote maskani hawana usemi nkajua iki kizare nkikiacha wataniona mshenzi nkajichukua fasta mpaka kwa ule dada angalau nsitoke bila nipate angaa namba moyo unandunda ka vile ngoma za uchawi ila fasta nkagain courage nsifeli waone ushuzi mi nkamsalimu akuringa akasalimika mtu mzima nkapiga viswa vya kumakinika nkamshow anipe namba mwenyewe akaridhia nkampiga good bye usiku mwema kumtakia nkamwacha akitembea nyuma najiangalilia hili dude bana noma nkabaki nkijisemea nkawaacha wanangu nyumbani nkaelekea huku kichwani nna mawazo ule binti namfikiria mida mojamoja ndo kwanza mi nampigia nkamshow penzi yangu nia akimaindi ntafurahia Dah kumbe kadata sema penzi ndo laota akadai kesharidhia kafall na mi kinoma nkajiona nna kismat kumcheza itakua noma nkamshow tutoke dinner kesho ka itawezekana next day tuko 5 star bila kesi waiter ashachafua meza kwa masoda na makeki na pombe za aina aina tunapiga bila breki alimradi kujibamba na mtoto bila mastressi After that fasta nkakomboa rumu ndani ndo tukajitoma wenye wivu wanywe sumu klichofuata sihitaji kusimulia ila gemu ilipigika bila refa kusumbua mara tatu nyavu ikatikisika uwanja sita kwa sita ukaskika ukilalamika ungepita ungedhani labda ni tractor ila mchezo ukakwisha majibu yakaridhisha Morning inafika na sarakasi kibao Mtoto anadai nishapata nlichotaka ye ndo bado Nauliza anataka nn anadai eti dam yako nkamshow achaga utani ka ni pesa hapa zipo ghafla akachange macho yakaturn blue ngedhani mwana caimera kweny movie ya teen wolf meno keshakua simba nkajua ndo nishadedi klichobaki labda sala na maombi ndo ningehitaji nkaupiga teke mlango ukasalimu amri nkachomoka unyoya ungedhani safar rally mpaka church fastafasta nkapatana na padre ikabidi nimeomba toba walai nikaokoka stori ya madem walai mi nimekoma kumbe huyu dem walai mwana sangoma mi naacha ubembe walai sitaki tena itabidi nmeoka niseme Yesu n bwanaΓ—2

23 Comments

Leave a comment

Yooo 😱 Bars: Can improve πŸ‘ Delivery: Good πŸ’› Impression: Good πŸ’›

Bars: Perfect πŸ’― Delivery: Perfect πŸ’― Impression: Perfect πŸ’―

Dont understand but it sounds πŸ”₯ Tag This ⭐ Bars: Perfect πŸ’― Delivery: Perfect πŸ’― Impression: Perfect πŸ’―

You may also like