hela
VERSE kitaan ni purukushan weka hela mezan watu watafany kazi, watu mda wote maskani kusoma ramani wapi waingie kati, mawazo mingi kichwani nakula majani niongeze appetite, sasa atafanya na huko huko nyumbani i'm the stone, coz when we sleepin hatupati bati, ey, hata kitchen my man hatung'ati, ey, so jitwike roba la viazi, ey, tujilipe tukagonge glassi, HOOK watu hatutoki maisha ya juu, watu tunatok maish ya vifuu, watu tunalala naosha muguu, ugali tunakul na vtunguu, maisha hayo hatutaki tena, yea true sasa hatutaki chenga, yea true ntafany karate au kungfu, nijaze wallate iwe fuu full, CHORUS Helaa aaa tunasaka helaaa aah ×2 VERSE wengine moyoni hawana mapenz na wanachokifany wanachukia, watakaza usoni utawaona madoni lkn moyoni wanaumia, kuna hao wasomi ohm's lawa atomic kutafuta pesa wanakimbia, wengine vichomi mahome aloney muda wote ndani ametulia beba ata kiroba k-kg ninety90 nina kilo kaa fifty three53, lightly maumivu siyasikii, sipati ninamezea na bigg G kwenye pesa urafiki, ctaki nishajitesa so pipipi, laki leta chenga ndo ki ki ki, righty sitaki me nifall nirud backin days, so naandika my songs huku nasaka pesa, tena nakaza roho mifuko naichase, and more and more nitaanz ongoza race HOOK watu hatutoki maisha ya juu, watu tunatok maish ya vifuu, watu tunalala tunaosha muguu, ugali tunakul na vtunguu, maisha hayo hatutaki tena, yea true sasa hatutaki chenga, yea true ntafany karate au kungfu, nijaze wallate iwe fuu full, CHORUS Helaa aaa tunasaka helaaa aah ×2
You may also like

Leave a comment