i will coming back home

0:00
0:00
i will coming back home

i promise mama, bado nakumbuka them days kitambo sana miaka miwili ishapita ckosei nlipotok farmer nlitoka na khanga na tenge naamini kwako baba core man salama uende nliwaza how i dare nakuacha naenda mjini kweli? but u dont care ukanipa moyo nikaze brain vroom nikapepea ulinipa hi ya kwaheri mema nakuombea upate na kabinti that's wat u tell me amani inapotea nikikuwaza everyday nahisi nakosea nivokuacha wee pekee najitahid kujifake pretending that's im okay but mood inachange nikikumbuka yako face nitaenda moooove for you na sitafanya upuuuuzi i don't nitafanya kwa nguuuuuvu i go na mimi nitaruuudi na gold Chorus: coming back hoome usiku mchana mama ntapambana tena ntakazana bafana bafana i Will coming back hoooome ooh ohh coming back home

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

User avatar
926
Total plays
78
Followers
27
Following

You may also like