i wish

0:00
0:00
i wish

Sio siri nmetoka kweny mtit.. Sio siri nimezama kwako mtit.. Sio siri unanpendaa kwa dhatii.. Sio siri una moyo wa dhatii.. Upendo kam huu sijauona before.. Walionipa Maumiv hawakueza kunicontroo.. Niliowapa nafas walinikimbia mda wang wakanipotezea Waliniacha mpweke nikaumia Sikuona wap pakukimbialia.. I wish ungekua ndoto zangu.. Nikuweke Kwny maisha yangu.. I wish ningekuijua mapema Nikuweke kweny moyo wangu.. Ila mungu n mkubwa Kanipa rafk wakuniongoza.. Wakunirudishia thaman yangu na kuniliwazaa.. Corasii I wish niingekujua mapemaaa.. I wish ningekua nawe mapemaaa.. I wish nngejuaanaaa nawe mapemaaa my bby.. *2 Verse Walinibeza umewapa jibu Hawana chakusema wanaona aibu.. Walionivua vyeo Sa hv wananiwatch ka video.. Walisema sio Sa hiv wanakubal ndio.. Umenibadlsha ukanisafsha nilpochafuka.. Ukanipa moyo ulipovunjikaa.. Sina mwngne wakumwimbia.. We pekee ndo unanijua so ebu angalia...vile navokuaombea.. Me na ww tuko pea.. Nngekua nan pasipo Upendo wako.. Asante kwa yote popote ulipo.. Mungu akupe maisha marefuu.. Yenye furaha maradufu.. We ndo nyota inayongaa asubuhi.. We ndo wakwanz wengne hawakai.. I wish ungekua. Ndoto zangu.. Nikuweke kweny maisha yanguu.. I wish ningekuijua mapema Nikuweke kweny moyo wangu.. Ila mungu n mkubwa kanpa rafk wakuniongoza.. Umerudisha thaman angu nakunilizaa...

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description

User avatar
1.23k
Total plays
218
Followers
1
Following

You may also like