Ombithi Ombitho
Ombithi Ombitho

Listen (11:00)

Listen (11:00)

19 Plays

18 Nov 2022

ten over ten nakupea styles zote ki ben 10 usiulize nita cum when nimetoka kwa siz yako my x anajua tuna share bed ana dai kunigei ki shem akuna kitu ajui from x to Z nilianza drill jana mahaters waka banja sana ati kwa drill akuna kitu nita pata cheki vile ina wabamba utathani niko na pawa madawa kumbe ni God ame ni gift na kipawa siku izi na fly nikama niko na mabawa kama kawa mahaters endeni mkapige shawa blood sakas endeni uko nyi ni machawa kama mnataka bif endeni bama hio ndio lacation nawa pin mnaweza snif nyama niko free like air buda naku dare leta hio bif nai sniff kama bear bigman kwa game dont give chair nataka hio sit kwa flow amsick take asit kuna mawaitha nataka kuwa pea uki barikiwa jaribu kushare usitupe mkidi unafaa kulea thats u a blood manze unafaa kucare usijifanye dont care pembe za plastic zianze kumea God ameni bariki sina noti atlist napata mashilingi ata kama sio mingi bado life naishi fiti na siringi hii ganji sipimi niya hii mwili na watoi wangu wawili watu sio wa fiti kama hauna ganji watakuita chizi ukijiweka bizi upate shilingi rumas zita kua viral ati ume fuga jini sio siri niko na mision ya kufukuza umaskini mimi na poverty ni vitu mbili tafauti thats why daily na paza sauti coz mshahara ya crime ni mauti ni masaa ni time ya ku inspire na ku empower vijana wahepe crime waweze kujenga ma empire its not too late bado kuna time

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like