firm like a cross

0:00
0:00
firm like a cross

im staying firm like a cross cus am feeling like am close! cus they talking but i ain't gonna pause! i guess it's time for me to make a toast' na daro me sikua choppi exams joh nili copy! nika shoot my shot ka kobe' nika make it juu ya ku turn passion to hobby skuizi mchana hunioni labda tu majioni me hushinda ma mbioni'juu niko ma missoni? base nimechill niko on kaa bulb nimetoka kuseti ki bud niko high kaa bird''''nafeel na fly kaa Eagle ni herb nashangaa mbona ni illegal' ki ombitho" imefanya nikue lethal sai niko level' yangu kaa kina octopizzo' na nimeshinda zangu .........ukinicheki kwa base niko na escort kaa ya prezzo' niko busyi' joh usini holla tuma messo' leo na wa beba nimekuja adie na lesso kaa una hate utapitia mateso hapa tuna washa kaa pepper' tuki write ma mistari kwa paper hakuna ku hepa' labda tu nifiche white na ngepa' ndo usini cheki ritho' nimechill' na ngoja giza' ndo kukuche joh nianze kuingiza' wao huniona rich lakini me bado sija reach' nikaa niko kwa stair's........napanda na nimekuja na pair"' kaa haijakubamba nikona spare"" Rap tuna unda layer"' juu tumeapa mziki lazma tuta wapea" joo ata ni lost joh"''offcousre nta rejea na mali safi ata hukua una tegea" ikushike ukue high nikaa una pepea" jooh hii stuff ndo watu huni pendea"""""""<! ...........its a dark path but still me na tembea kwa zile mitego mliniekea nazishika ka David de Gea" hakuna vile me ntalegea na niko solo" niache ku feel so low' nikue high" juu niko uhai nafaa kufurahi ata kaa vitu zinaenda vile hazifai" ........... manze nafeel fitty saii sijui nimetoa wapi sike" nafeel right...nimerudisha sight juu nilikua blinded .... juu na keep it a hunded"

1 Comments

Leave a comment

User avatar
3.25k
Total plays
169
Followers
59
Following

You may also like