humble

31 Plays

17 Oct 2022

na ifanya vi simple leta beat nikupee sample niki shika Mike rapas wanaji humble el chapo mimi ndie baba yao songa kando kwa stage ni Dabo trabo mambo bado na kama UKO na mambo Nawa mada ni kirambo Kuwa ng'oa macho am the king Kong kwa hi jango fake rapas mko kwa target ni time yenu ya kick this barket kwa game nawa weka kwa kasket juu mna fit parfect am the hotest kwa hii market thats why nakam bila vest naji piga chest am the best najua the rest ni mapussy mapet mme fungwa ma uzi mapapet sure bet siku pass hio test from A to z ilikua niku mess ata uliza ticha wa chem mr ben alichoka kuuliza nita soma when lakini akuna mtu wa kublame coz hawa madem niku wabend ki ben ten kuseti mashash on flames niko free like air buda naku dare leta hio bif nai sniff kama bear bigman kwa game dont give chair nataka hio sit kwa flow amsick take asit kuna mawaitha nataka kuwa pea uki barikiwa jaribu kushare usitupe mkidi unafaa kulea thats u a blood manze unafaa kucare usijifanye dont care pembe za plastic zianze kumea God ameni bariki sina noti atlist napata mashilingi ata kama sio mingi bado life naishi fiti na siringi hii ganji sipimi niya hii mwili na watoi wangu wawili watu sio wa fiti kama hauna ganji watakuita chizi ukijiweka bizi upate shilingi rumas zita kua viral ati ume fuga jini sio siri niko na mision ya kufukuza umaskini itakua friction mimi na poverty ni vitu mbili tafauti nisha make decision thats why daily na paza sauti sio lazima 2 debate hii motion coz mshahara ya crime ni mauti ni masaa ni time ya ku inspire na ku empower⁹ vijana wahepe crime waweze kujenga ma empire its not too late bado kuna time ten over ten nakupea styles zote ki ben 10 usiulize nita cum when nimetoka kwa siz yako my x anajua tuna share bed ana dai kunigei ki shem akuna kitu ajui from x to Z

3 Comments

Leave a comment

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

2 years ago

You may also like