Willson Skj
Willson Skj

miky as long as u love me

miky as long as u love me

15 Plays

31 Aug 2022

yeah is miky so mala ya kwanza magoti kumpigia kusema nimekosa wallahi naapia lakin hakujali alisema namuongopea japo haikua ukweli na kwel alinsingizia kumpenda nampend kweli japo anajibu kejeli so hata kama hanitaki lakn anaficha ukweli kumkiss ni lisubiri mana aliniteka akiri mambo yakufanya mapenz ni mambo yakikafiri tulivoachana maisha yalinialibikia ikafika kipindi nkaanza ad kumkimbia nilivuta sana bangi lakin hazkunisaidia nikafunga nakusari mung akaniitia ni kama bahat wamenibambikizia ilikuaje mbka mbka tupo wote siwez kuwaadithia kwa ninavomkubali huyu demu adi nililia yani nafurah nkimuangalia mwenzenu nimependa mwenzenu nimependa mwenzenu nimependa mwenze so nkikaa kwambali hua nawaza hajaninyima kitu ila muhuni nd kilaza yani hahahahaha ebu kwanza maana mala ya kwanza ckua na aibu nakwambia ila saizi imechange nafasi nazichezea hata kumgusa siwez nabaki tu kumuangalia mda mwingn nataman hata kumuimbia na nawaza vipi muhuni akaja akaniibia maana jeni alisema matunzo cjampatia na ndo mana na ndo mana alinikimbia yeah na ndo mana alinikimbia mtoto yupo wazi nahisi hanipendi mana hayupo kama zamani naona ka wikendi yani naona naona ka sipendwi nijali bax nimependa nimependa nimependa na sitaki kumwacha akaenda labda akanitenda

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like