hot one
na preach kama jesus wa nazaleti sitaki ufamous kutoka front page kwenye magazeti madakesi haunipati hata ukimwaga cash hunikuti best nipo fit kalikiti kila time maangamizi upuuzi hautaishi milele utafika mda wa mazishi unabonga utumbo ndo maana kitaa hauwakilishi unawaza chini ndo maana swagger haubadilishi hauthaminiki unatema shit daily utakua faza lin unakesha vilingeni unachoma ganja weed haunati kwenye bit aisee hauupigi mwingi umesahau kitambo ulikua young time imegoo bro umekua ding Tunaishi na makoplo wana beef za kitoto machoko wakianzisha zogo wanakula mkong'ong'oto si ndo dawa ya wanoko tunazama kila chocho tunazingatia fogo mkwanja si ndo unawaziba midomo na show love kwa eache other sina jelous kwa each other me faza i need more heiters kunidisi we sio wakwanza I'm keep going sikatishwi tamaa na vilaza unajua ku copy haujui kuandika hizi stanza nakupa kitu real unirespect as u'r faza ndo kwanza naanzisha vita hapa mta danja hii ni rap eliminyo emcees wanakufa njaa nachukua mitonyo najikataa naanzisha mgomo nazima taa mnashangaa nawapiga changa waliozubaa maduu wanadanga corner baa ni balaa mambo ya hovyo ndo yaliozagaa kwenye mitaa kila ifikapo leo afadhali ya jana kihama ndoa zinavunjika wanaachana mabibi na mabwana hii sio sawa ni bonge la laana hakuna peace kwa ndugu zilizobaki ni lawama nyakati za kihama kiatu chake dawa huyo baniani mbaya na breezy another round zinawaka kaya sina peace kwa ma snitch ubaya kwa ubaya haya hapa lazima utasanda nikianzisha vita watakuvika sanda ma og tupo high we're burn kama tupo king stone jamaica i feel nipo paradise nimechill na malaika
You may also like

Leave a comment