dear pombe

0:00
0:00
dear pombe

dear pombe bac nipe nafac mola wangu nikamwombe.. timazama ninavyo ishi ovyo sasa kama ngo'mbe.. uso umekongoroka daily napigwa vikombe.. .. ona familia yang tayar nshaitelekeza .. cna hata ktega uchumi mana ckumbuki kuwekeza.. hata marafiki wa maana tayar nshawapoteza.. ...nazisaka kwa jasho katkat ya jua kali.. nafanya kila kazi mixer hata udalali.. alaf nkizipata naenda kushushia maji makali.. japo kiafya inaninyong'onyeza haifai ni hatari ..pombe inanifanya nawaza starehe nkipata hata buku mbili bac kwngu ni sherehe. nalewa sijielewi ntakapo lala ndo hapohapo... juzi sungusungu wamenikurupusha na kichapo. ya jana ndo kali .nililewa chakarii leo asbuhi nimeamka kwenye dampo..

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

User avatar
1.2k
Total plays
54
Followers
52
Following

You may also like