Ombithi Ombitho
Ombithi Ombitho

murdered with the beat

murdered with the beat

13 Plays

23 Jun 2022

wana sema mi ni kasee mkamba kumbe wao ndio mabazee mafala mtaa cheki vile wame chapa pesa ya kanusu wana changa wawezi fika bei ya shada heri nikue fala mshamba mkamba lakini niko bandal kwa mbosho niko na chapaa vasachi juu na wachafulia chini akalaa niki drive bez wana shangaa siwezi kubali kua mjanja ama mag'aa mag'aa wajanja walifika lag'ata wako six fit under walio baki wako kamiti na mada hii ni kanairo kenya ita bidi nikupeleke na rada soma rada uta menya wajanja wana genya bila ata kwa life kupenya punguza keki usipende kukenya ukipata na beki watu wata kucheka heri ku medi ukiona watu una cheka na mahetas niku walenga na mplayas namba 7 kuwacheza niku chora 7 kuwachenga machura wana baki wakisema manze yule boi awezi hema akishika mike niku Tema mahetaa wana hepa stage mapema naleta shot kuliko shakes makena hii life haitaki mabeshte wa u doo uki kanyaga stage manze wata kuboo wakucheke kama katoon tia bidii very soon madem wao wata kugei stingo za baboon daily sapa uta kulia kwa moon wata kusach manze wata kuzoom lakini utakua mbali uta kua tycoon Kempinski ukikula na golden spoon na makeki wameja nyuma wapelizwa kama baloon waki enda kinyozi buda uta nyolewa kwa saloon

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like