feel free

27 Plays

10 Jun 2022

wana sema mi ni kasee mkambaa kumbe wao ndio mabazee mafalaa mtaa cheki vile wame chapa pesa ya kanusu wana changa wawezi fika bei ya shada heri nikue fala mshamba mkamba lakini niko bandal kwa mbosho niko na chapaa vasachi juu na wachafulia chini akalaa niki drive bez wana shangaa siwezi kubali kua mjanja ama mag'aa mag'aa wajanja walifika lag'ata wako six fit under walio baki wako kamiti na mada hii ni kanairo kenya ita bidi nikupeleke na rada soma rada uta menya wajanja wana genya bila ata kwa life kupenya punguza keki usipende kukenya ukipatana beki watu wata kucheka heri ku medi ukiona watu una cheka na mahetas niku walenga na mplayas namba 7 kuwacheza niku chora 7 kuwachenga machura wana baki wakisema manze yule boi awezi hema akishika mike niku Tema mahetaa wana hepa stage mapema naleta shot kuliko shakes makena stage nimefika staki mabeshte wa uduu niki kanyaga stage manze wata ni buu wani cheke kama katoon nataka life ya juu daily na tia bidii kakoon najua very soon nita kua tycoon nikienda kinyozi machura wanaenda saloon daily sapa nakulia kwa moon wata nisach manze maheta wata nizoom Kempinski nikikula na golden spoon na makeki wame fura kama baloon figure 8 ni stingo za baboon

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like