Mahalcrood$
Mahalcrood$

The Crown👑

The Crown👑

44 Plays

26 Apr 2022

The crown is wat i own nacheza kwa grownd wth wat i knw. nalenga kubow to the gods under the flow. napenya kifao kwa io zone wataniknow. natema throughout ndo kwa rapping mi nagrow. napenda ukiniguidr unanipeleka kwa 4m. watanicheka nikislide staki kua kama b4. natak kufly high lok a fighter jet. mbona nicry why n m sitaless Umenipa uhai n nguvu m nitembee. nko hapa nasurvive haithuru nisilegee. ndo nakupa tithe daily nkutegemee cz n Ww unanprovide mbona m nijichoche. kwa neema unaniguide upande ule nitokee. kwa muziki nibobee. ushindi nipokee. kwako nisipotee. cz nko n Imani ka Abraham. Nashinda vitaani siitaji charm. wakuniwinda nani kwangu hakuna harm Nko njiani nanyi buda boss Nakam nakimbilia taji am the rose nifact. n niko katikati vtu gross ni bang. utiaji m staki ukinicross n bad. ushukani n kibali ya kuhold the rank. huku kazi hatulali tunahost n gang. tunatuma rambirambi tunaflow wanasuck. wanapita mbali mbali nko bold wanarun. nashika mikakati n kuown io farm. naska uradi i dont wanna use a gun. kwako m narun. kimawazo nmerelax. napenda ukinicalm. nko shwari ntafika. sitateta Unanilove. mfani wako naiga. Imani nashika. sijanduka bandika. cz n We Unanilipa m nafeel free nikiwind. hope umenifeel through my lines. ukiwa ready unipeep tucollied. we got one life. keep it real not a lie. "CROODS"

2 Comments

Leave a comment

clean flow

2 years ago

You may also like