mat wizzy

7 Plays

10 Apr 2022

yuo stop coz naongea me you play attention, wana tulio waamini wote sasa wana faken, Cheki wana walivyo bou utasema ni gang gang, Tunaishi na masnitch hawaleti wenge, Mambo mengi ya ninibro kama unaweza twende, kama ramadhani huu ni msimu wa tende, Maisha ndo magumu nawaza mbele itakuaje, Sijui yeah, We said allahadaulillah mambo ni magumu ila sasa mengi ulaghai, wengi tuliwaamini ila sasa wote awafai, tunaishi kama jana siyo kwa kujidai, ivo ivo na wanangu tunajaribu kufurahi, I tell my mama ipo siku atakubali, mana wengi tulipenda maisha ya kifahali, hali yangu maisha najua mwenyewe ninapo kaa, mana hapa nina dem anakalibia kuzaa, daah mtu mwingine angeweza kuikataa, japo mambo ni magumu chakalika bro, uso wa mbuzi ukijicheki mbaka kwa kioo, matozi wengi wanapenda maisha ya kibisho, kama mwanangu mabaga tunaishi kwa mitego, japo secondary tumeishi kwa maskendo, na tunawish kuja kujenga bonge la mjengo, with helpful mbaka leo ninachana, ila kimtindo wanapata tabu sanh, me najua ipo siku tu nitasimama, ingawa watasema flow zangu za kimama, ntakimbiza mbaka ntapo amua kusimama, mana nikikaza watataka kupigana, na hayo sitojali nacho jua kuwachana, ikiwezekana muende ata church kuungama,

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like