Real flick - Malaika wangu
0:00
0:00
Sijabuy Ndai mababe si ubook Uba Tuonane badae like hey Mahabuba Swag na style zangu mababe ni bab kubwa Usin'fananishe na wenzang' angh ah makubwa Nikipata tyme tukamcheck Ma mkubwa Nipe japo tyme usin' bluetick lyke Mbwa Ukivuka ma Gate maluv maluv Nikupe kitu kama Gates mashav mashav Huna hata dosari kilakitu mwaah! Mi nasali rosary nikupate but waaah! It looks lyke dua kuku halimpati mwewe St'aki kitu usinishuku nakutaka wewe Ety nyondha mkalia nini? kula kuku wewe Unaniponda usoniamini una nini wewe Mshkaji wako hajiamini unamwamini wewe Mi mwenzako sina nini ana nini yeye Kwanza marufuku staki mwona tena si ety nakushuku Nikimwona tena utaskia M-buru tu-tu (Grat-tat-tat)
You may also like

Leave a comment
See track description ↑