Martin Mgonono

makavel session 3

Martin Mgonono
makavel session 3

16 Plays

17 Mar 2022

maisha ni hatua ambayo tunapitia, sasa mbona imekua wengi wanalia, japo mengi nimepitia ila god ndo anajua, niliishia kuugua nikataka kujiua, japo maaa anajua ipo siku ntatusua, na kwa jinsi navyo kua nazidi kutambua, wengi tunao wajua wanazidi kupungua, mungu baba unajua kuliko navyo jua, kama mimi ni mchanga au kitumbua, mana kwa maisha nayo ishi nazidi kupungua, nipe baraka nyingi nizidi kusumbua, na binadamu wa sasa mbaka watu wanaua, wape upeo wako ipo siku watajua, kwamba haya ni maisha na sio samaki wakuvua, japo wengi tunawajua wanaozdi kutusumbua, maisha ndo hayahaya ata kama unajikuta, wengi waliyavagaa sasahivi wanajuta, wanalala japo hawana shuka, me najua ipo siku tu watanikumbuka hata kama kuna mda nakulupuka,

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like