sampo

0:00
0:00
sampo

nipo kwenye soket kigu mimi ndo boss eti, soja ambia majama maisha ni kama ndala, kukatka ni saa yeyote kwahyo sina dili na mafala, katka pitapit zangu huko mjini natafuta hela, naskia kigu n joh makini hamjagundua tuu masela, tuombe kuona kesho, muone gar gani itakuw kwenye egesho, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mashin sikuzaliua kuku jike, kusema kwamba ntakaa, nisubirie Matanikio hiv unanisoma we jamaa, ndani ya jiji la dar/ kigu ni mashine waninyime tuu crown lkn mchiz nafaa/ kwel kukosa pesa ndo kukosa maratiki ukizpata uatasema n ndugu zako, kuanzia swala mpka fisi haua binadamu vp/ bdo nipo kwenye haso na haso imejaa mtiti/ ukifunga ndoa na nyani kisa pesa, pesa itaenda zake ubaki nae akikupa presha, sio Mnacheka/ ila fresh kama naeleweka Maxa aliturahi kuniona rmdogo wakat naota rmeno/ leo namwona akiwa rmzee sina furaha anangooka meno/ sina neno/ mwanakwetu nenda niachie pengo/

2 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

Bars: Dope πŸ”₯ Delivery: Dope πŸ”₯ Impression: Dope πŸ”₯

User avatar
3.09k
Total plays
96
Followers
92
Following

You may also like