Second Love (12:27)

0:00
0:00
Second Love (12:27)

i remember hii ilikuwa school nitokea kumpenda mdada mmoja alikuwa mzur ila nilimfuaata akanikaushia na mi sikukata tamaa maana nilimpenda sana another day nilimkuta anakula lunch na marafiki zake nikasogea nikamwita akaitika boo nikamwambia tuna weza ongea nayeye akasema 'yeeah tunaweza' Mwamba sindo nikaanza kufunguka ya moyon. nilimwambia kwamba nikimuona napatwa na homa lakin chakushangaza dem alianzaa kulia .nikamuuliza kuna nn boo akasema nothing unaeza endela kimoyomoyo nikasema inamaana ajanisikia??

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
17
Total plays
9
Followers
8
Following

You may also like