Niweke wazi
Kama unitaki , Bora uniweke wazi,,/x2 kuliko kunipa happy mwishoni chozi,,/ kuumia Tena staki,,/ mimi Niko radhi,,/ kukupa unchohitaji,,/ hata Kama maskini sijiwezi,,/ nitafanya juhudi,,/ Ili nikupe usinisaliti,,/ Amini nakupenda kwa dhati,,/ Wala siigizi,,/ ukinisaliti nitakuwa Sina jinsi,,/ nitabaki na majonzi,,/ naomba unipe mapenzi,,/ ya kweli usiniache na majonzi,,/. Kama hunitaki, Bora uniweke wazi,,/x2 kuliko kunipa happy mwishoni chozi,,/ kuumia Tena staki,,/ Nakupenda mpenz,,/
Leave a comment

You may also like