Pablo TRusty

KïÑG SîZë🎯🔥

Pablo TRusty
KïÑG SîZë🎯🔥

47 Plays

20 Aug 2021

macho kaa mchina,,nvenye nmenyanya,kwa mkono Nina tambla,,na imejaa kihunters,ni ya kuskuma Jaba,,usiku nikichana,,ifike hadi mchana,nikiwasha kama saba ,,*2,nko high nasi madawa,,ukitaka utapagawa,ntakuchocha umeivana,,nakumbe umeparara,,toka hapa takataka ama Mimi ntakuwasha,ukioga sawa sawa,,kitu safi,safasafa,eeh,,kitu imebeba mi nafika bei,Kwa waathi mi n bola kaa n kladi bale,,na sjai tambua chopa mi huenda napeng,,kweli mi bad bunny,,nikiwa na wa natii,hatutakangi masharti,na hatuvuangi Shati,tukikula ngwai,na akina guyz,,Na sii tuko high,,Manzi yako n mfine,Kwako n bromine,Ndo Maana ananidai,,Eeeeh KingSize!!,,,Kitu ßigi

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

Yeah hot Th_n Fire🔥💪

You may also like