NA WE freestyle
youngshebby_Tzboymtatuambia nini mi na hii pini/ mtoto chuchu saa sita mweupe takadini/ naifinyia kwa ndani chini kwa chini/ yupo na mimi you can check behind the scene/ mtoto kaumbika utasema malaika/ namwita mama sita we!! anavyoitika/ sauti ya kumtoa nyoka pangoni/ umeumbika mama mwengine simuoni/ ahaaah nahitaji penzi lako/ si unajua mama nimezama kwako/ jiachie mama huu wote moyo wako/ nimekukabizi fanya utakavyo/ kwako sitoki nimeshafika/ wangu lahazizi mpaka nazikwa/ upendo wako nimejivika/ moyo makovu umeyatakatisha/ natembea natembea natembea/ na wewe/ natembea natembea natembea/ na wewe/ believe me usije nipa kiwewe/ sitaki zaidi yangu me uchezewe/
Leave a comment
mtatuambia nini mi na hii pini/ mtoto chuchu saa sita mweupe takadini/ naifinyia kwa ndani chini kwa chini/ yupo na mimi you can check behind the scene/ mtoto kaumbika utasema malaika/ namwita mama sita we!! anavyoitika/ sauti ya kumtoa nyoka pangoni/ umeumbika mama mwengine simuoni/ ahaaah nahitaji penzi lako/ si unajua mama nimezama kwako/ jiachie mama huu wote moyo wako/ nimekukabizi fanya utakavyo/ kwako sitoki nimeshafika/ wangu lahazizi mpaka nazikwa/ upendo wako nimejivika/ moyo makovu umeyatakatisha/ natembea natembea natembea/ na wewe/ natembea natembea natembea/ na wewe/ believe me usije nipa kiwewe/ sitaki zaidi yangu me uchezewe/
You may also like