jumanne

wabaya

jumanne
wabaya

15 Plays

04 Aug 2021

msela me nachanga wanaleta ubaya napiga piga punga na roho zao mbaya naseti majumba wanasema mabaya spendi kuyumba ntakua ka chawa ubaya na chuki wapenda vitonga watoto wadogo wanapenda kugonga msela nabeba nakisha nato mabinti malaya wanapenda kugo unanikuta na zali unasema la mondi kudume lijali alafu utombi unajua hatari kam ugongi mademu wakali unakuta ni tasa ukali wa wana nahofu vitasa na nati nakaza natia machata mistari natunga natoa kichwani napiga mapunga nachoma ubani milango nafunga asije shetani nasaka wachumba kitani kitani vilago na nyumba natia begani karoti namenya natoa saluti maganda natupa alafu ckuti ukuti ukuti mchezo wa chande mtoto abibu anafanya nichonge Nafeli katibu anasema nisonge Niweke na bubu nizidi matonge Nipiga washamba napata mahela Japo najua ni kesi Na level ya chini nilevel ya teshi Natia hesabu ambazo ni keshi Tenz za chini natunga matusi why eehh feng muulizi mrusi kama utaiga utaimba matusi kwania iyaba natoa Korabo damu ya kwangu anapata kibano marafiki kutu wanapenda pambano wasije kufosi katika michano nafunga midomo washenzi × 5

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like