Young yobi
Young yobi

breakup

breakup

16 Plays

01 Jul 2021

izi words ni painfull nimeshindwa kuandika uliniwacha nikabaki nikuona tu na picha sijui niende kwa nani juu ni mwisho nimefik nimemiss kutoka job nikupate umepika na feel tena kama naweza kujimada sai situli kama sipombe ama kishada kuniwacha ulifanya nikapagawa niko na memories sensitive za shawa i hope tuu God ata kurudisha i hope pia kuna love umebakisha juu ulikua already umenidatisha unakuanga simple ata makeup siku amini ukinishw tu mebreakup ilibidii nimelia adi mbele ya mokoro najua uwezi kubali uliskiza wasoro plan ilikua kukuoa na nikupee watoto but story ya sidechick ikaweka moto kwa ploti uliwacha umenichomea photo

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like