Kevin Aswani

uko fine

Kevin Aswani
uko fine

11 Plays

22 Jun 2021

asifuye mvua ime mnyea ndivo walivyo sema wahenga mie nita msifu wangu malikia..aah uko fine yaani wa pendeza umbo lako lime zidi wa kitanzania weka kando wa kisomalia aroma ni zaidi ya dania.. bila kutania.. hapo bas mie nshame zamia...aah kila... upitapo wavita.. niko nyuma kaa mkia.. nakufatilia,bila kutulia.. nikiamini penye nia hapakosi njia.. me nawe kwenye penzi ni tajivunia... aminia.. bila nduthi ama motoka ...kua wangu dea juu nina i dears za kuku drive crazy ama ni sake lawyer juu ya ku u iba moyo wangu ...aah yoh.. hata setion.. meditate... i don't make a step every day when I fall asleep i dream about you.. ....... acha kina caro na.. vayo. ni we alone nina dai,in my heart ❤️, in my mind and ... on sight walai na si dhani kuna alioko zaidi yako ataja ni adaa ili ku break heart cheza na rada... we ndio dawa.. nina ugonjwa wa kuku mind niki kuona nina pona .. nime keep hii soo long in ma soul leo acha ni kwambie.. just give a moment.. ni we alone na dai 4my life ah.. sina time yaku chocha nakupenda.. niwe na agenda ya kupa date kwa kalenda.. iwe hit and run naogopa kuku tenda nikulinde kisoja na bunduki kimasai na mkuki.. moyo wangu waku enzi... natamani mda wote niwe ki ukweli nita kulinda ki komando ... ila..natamani niwe nawe kwenye penzi pia... usi niache mpwekee.. nacho kiomba be the owner of my heart in ma kingdom be my queen*2 basi kua wanguu kwani wee in my mind ame nisho Mungu... hata kama sina vya thamana wewe ndiye wangu wamaana hali crical kuliko tissue in flot.. usi waze tuta floos hata ka flot

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like