wera📻

12 Plays

17 Jun 2021

kama ni wera nadunga kushika nashika mabunda nina kigenge buda tathani nasaka makura kama ni boy tuset chain inatokanga left kama ni ngeus tusex njoki na mary ndio next viboko najua mtatii, mahit zinachezwa kwa mathree nakuja na drinx nakuja na yeengs wanapeana free awa wasee wa kukopa mahela wananihala me dem anaringa utathani ni vera na sura ni zile za meme cheki marwabe ni blue niko high niko juu nateki madem kwa loo raundi tatu fala analeta vurungu pigwa mateke marungu nakunywa maziwa na njugu leo ngeus ni manduru nilimtumwa mkanyo, nikarudi na mashada maisha uku campo, ni sherehe na kukulana boy anaitwa pato alipigwa nyongolo jana na madem wanataka dooh, kazi ngumu kwa wavulana daily buda tunatrek, si tumejipanga tunafika local kunywa keg, saa sita mchana staki izo mafegi no no mi nataka shada nono labda kadunhill ofcose izo zingine ni so gross tulikuja fom na manyongi tukaziwasha lowkey nyi ni savage kama madogi nko na courage juu nko na mbogi staki bandage stapata damage juu najua mi ntawa manage kwa hii mambo mi staki challenge mi nadai tu madooh na mapackage

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like