Hillary Gideon

kishash🍁🍁

Hillary Gideon
kishash🍁🍁

35 Plays

14 Jun 2021

kwa mlango naskia hodi hodi ni rafiki yangu amekuja na manyongi tukaroll tu kikoro ya manyongi ilikua bigi inatosha kuset mbogi basi fasta saka iko kilighter shada yetu bigi buda tushawasha suicide moshi meza kama pasta kwa shada mi ni hevyweight, mi ni papa tulikuja na madrinx kwa mayengs wakadhani tumekuja kuwabeng atujui ngoso buda si hubonga sheng na ka iwezi tutabonga na maweng kisha tunakunywa cup za keg one two three four mpaka ten wakaanza kuchora saba kama pen after mechi siunajua ni kuzed si maboy waboy wanadhani wameweza ni watoi wanadhani ni wahenga kama mate buda si tutawatema na madem wao pia tutawateka tunadeal na latrine nyi kwenye poti nina kilo tatu nyi mko na nyongi nikikula tako solo nyi mnakula mbogi aiiy, nyi mafala na muoni sina worry, bash nilikam na kimbogi tunawakilisha si unajua ni kungori ukileta shida ni mateke na madondi kaburi tulichimba inakungoja pale doni

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like