Hillary Gideon

staki amani😈

Hillary Gideon
staki amani😈

37 Plays

14 Jun 2021

nyinyi sio men, nyi ni maboy adi mnaroll na magun za matoy si unajua mi nimetoka rongai so lazima niwashe tu kingwai nyinyi sio men, nyi ni maboy adi mnaroll na magun za matoy si unajua mi nimetoka rongai so lazima niwashe tu kingwai naenda fom kaa nimenyanya, napenda kwela kaa fena, kwa meeting, hii ndio agenda: mbona marapper wanagenya, mbona napenda kunyanya, mbona napenda kusanya, ukiniseti kwa mbanga buda si tutakosana hii si rende hii ni geng, si huwasili na weng si hatupendi mayengs lakin tunapenda kubeng staki amani nataka vita navuta shada ka iko na filter na nimejenga mi ni builder nataka sub staki mafielder nyinyi sio men, nyi ni maboy adi mnaroll na magun za matoy si unajua mi nimetoka rongai so lazima niwashe tu kingwai nyinyi sio men, nyi ni maboy adi mnaroll na magun za matoy si unajua mi nimetoka rongai so lazima niwashe tu kingwai boy, im making the moves ayo, busta move tango napiga shada na mango nimevuta kutoka kitambo si ni werevu jo tuko campo monday zetu ni kama masato tunaball na pesa za lotto na madem wanakaa mulatto staki amani nataka vita navuta shada ka iko na filter na nimejenga mi ni builder nataka sub staki mafielder eey eey nyinyi sio men, nyi ni maboy adi mnaroll na magun za matoy si unajua mi nimetoka rongai so lazima niwashe tu kingwai nyinyi sio men, nyi ni maboy adi mnaroll na magun za matoy si unajua mi nimetoka rongai so lazima niwashe tu kingwai sijui sanifu nabonga tu sheng, napiga luku na sina machain, napiga shash inabaki kwa brain drip nadrip mpaka nadrain wewe ni ex ,mimi ni main we unaloose, mimi nagain si tuko loose, yani insane leta majuice, zile za cane

2 Comments

Leave a comment

3 years ago

🔥🔥🔥🔥

You may also like