crazy

Good Vibes (01:01)

crazy
Good Vibes (01:01)

124 Plays

01 May 2021

kuna muda unakaa unawaza sana furaha inakuja pale mnapofanana aijalishi ni mangapi tuliyoyapitiaaa umenibariki sikatahii na nimengi unanidai upendo unaonionesha siwez Jutia no drama ni hualisia wa maisha nilipotoka napajua so siwez kujikwaza nimengi nishapitia mpaka naona nimarudio msingi niuaminifu ila wengi wanashindwa kudumisha hilo asante mungu umenijalia hilo kipagi ulichonipa ni muziki ila bado wanasema nisikie 2napush naitaji hyo blue tick niko forcas kwenye really life siwez pretend wanelewa code ualisia ndo unaishi milele sina power uwezo nilionao unanitosha kabisa nishapitaa peku wakanipa viatu nisha lia sana wakanifuta machizo naa awakumbuki kama chanzo ni wao amin akufahae kwa dhiki ndo ndo rafiki kukaa kimya unajua inamaanisha nini vipo vingi vya kufikili na kuvipaa dhamani leo nipo na bado una ni-snich kesho sipo unani-post na caption ety nilikuwa safi

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like