immah
immah

moto sana

moto sana

7 Plays

08 Apr 2021

yer ati nikona flow ngori sana nahitaji beat moto sana huku niki bounce. nama sling zina hung from the bottom to the top am the best ata wadai wat bro hahahaha . nacheka ju nikona skils naeza wakil naniwa burn kma blant . nikimove kma chopper nikiwawacha mumeparara na hii ni ngoma moja hatari ikona mamistari moto sana sema moto sana×5 ati nadai ni heat kma pasi niwachenge kma vampersie niwa bebe kakaratasi . na we ni mtamu kma nanasi na wanati wanatii wanadai. kip it moving na ngoma nikali inahitaji kali. tupige kolabo moja hatari nadai niwashow bado naweza . naweza rap bila kukuibia mistari sinisha kuwa mkali nauwezi nilinganisha na asali take a note bro semeni moto sana×5

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like