RINGA

22 Plays

03 Apr 2021

nywele ni fake, macho ni fake, jegi ni fake, wacha kufake, hii sio hate tumia sabuni thats ur fate wacha kufake, uchichi, machichi ni wengi, muache ujinga nataka kumedi, ntawatairi leo na machete, ntawakunja ka magazeti🤣unanuka nenda uoge, we si paka tumia maji, ukinyonga tumia valon, ukisongwa tumia salon, ntawaspray na Mortein Doom, ukitaka two-by-two, kichwa kubwa ka balloon, uso bigi ka baboon. chorus: muache kuringa hio ni ujinga muache kuringa hio ni u- muache udaku hio ni ufala muache udaku hio ni u- verse 2: umesota mpaka hunyoi umechochwa mpaka huogi ka ni zogo come tu na mbogi uko dry ka m-thokoi manzi yako Chepkemoi ako maji na Arap Moi unachezwa kama toy we n buda we sio boy *CHORUS*

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like