check it

1 Plays

25 Mar 2021

watabeng kila kona mi kirusi kacorona nafanya miujiza kibao maadui zangu watapata homa kwakitabu unanisoma following kama roma sipigi mashuti ni kona makoloni yatakoma ukalini mm na rapa ni mm mkalia nyongo mkalia ini wanapenda mapini nawapa tisini leteni mapepo leteni majini mistari sibuni inatoka kapuni mnataka utani kelele za nn mapepe kibao mizani sipimi nakaz mikazo kwa amri za dini

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like