marvellous 360

umemaliza mwendo

marvellous 360
umemaliza mwendo

7 Plays

25 Mar 2021

elimu bure umetupa viwanda kuboreshwa mchapa kazi hukuchoka historia umeandika ubadhilifu ulitoweka ukapew sifa daah uliweka mikakati madhubuti ulijuw Barabara na idadi ya Samaki ukafanya mengi simulizi haifutiki leo haupo tena baba rest in peace ulijitoa kishujaa ukatumbua hadharani ulikataa uvivu ulipenda sana dini mungu akulaze mahala Peponi tutakukumbuka ahsubuhi na jioni ulipinga ujangiri ukalinda maliasili ukatutoa ujinga nchi ukaibadili ulisaidia Masikini ukajenga hospitali ulijali wananchi na wote wakakubali baba umelala huwez kuamka idumu Tanzania uchumi wakati tumefika wadogo kila rika wanalala mika nchi inahuzunika baba umeondoka ulikuw chuma kigumu kisichotikisika uliondoa misaada isiyo aminika kaulimbiu uliweka hapa kazi kila sekta uchumi wa viwanda Tanzania ikashika ahsante John pombe ahsante magufuli

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like