freestly

14 Plays

24 Mar 2021

wansema mapenzi ugonjwa unaeza kutesa ukaisi umerogwa na chakula usile hata ukibadili mboga ila ha sometime huwa yananoga ukiwa msela sena we achuuz utapata dem kumbe anakuona buz wakuranda randa we mzuruz kuku mwewe kifaranga hachagui nipe donge nkupe dozi ninyime tonge nkuwaishe kwa god nyie vibonde iki kipaji so kufoj tukujua ila tu hatutaki shobo unajishaua kumbe duu bandu bandu limeisha gogo unazingua juu na we so dem now unatow ndogo ulijikuta mwana harakati haya sasa kikowapi aliyekupa kapewa uliyempa kagawa aliyepata kapagawa yupo aliye kupenda na anaisha kwa madawa ii ni mistari zaidi ya chid bluu ama mvidi ntatoboa so mpaka niende kwa bibi na sina crue ni mimi kama mimi niko nomo sio kama ninyi

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like