nisamehe

4 Plays

24 Mar 2021

kumbe yanaumiza ni zaidi ya jeraha tena machozi yana liza ni zaidi ya karaha nani mwokozi kunivusha moyo wangu utateketea moyo wangu mwepesi kama tishu kwa maji tu nmeisha ssa naletewa na mibisu yasiwe ya risasi tundu lisu

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

kumbe yanaumiza ni zaidi ya jeraha tena machozi yana liza ni zaidi ya karaha nani mwokozi kunivusha moyo wangu utateketea moyo wangu mwepesi kama tishu kwa maji tu nmeisha ssa naletewa na mibisu yasiwe ya risasi tundu lisu

You may also like