Oftclerical_thug

umeondoka 😭 by @oftclericalthg

Oftclerical_thug
umeondoka 😭 by @oftclericalthg

6 Plays

24 Mar 2021

ooooh aaaah ahaaaa ivi kumbe nikweli umeondoka ivi kumbe nikweeli umeondoooka aah siamini bado ile siku naona pamba na masikioni na puani mwako nlijikuta nabubujika machozi moyo unasikitika majonzi umeondoka na we ndo daktar uliwapa matibabu dooozi kule kwetu dodoma umejenga ikuru nnachojua umeiona nenda upo huru ila majonzi hujaionja we ni nuru uliiangaza dunia sio tu watanzania ona uhuru kenyeta analia mama samia kabaki mpweke anaumia mama janeti namuhurumia ulikuwa mcheeshi leo umetukimbia majooonzi

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like