Tembo
Mgandi MsukoNaona upendo naona mengi naona ndoa/ewe malikia wa ndotoni kabla sijakuoa Nahisi kujengwa na upendo moyoni mwangu/safari ilishapata nauli msafiri karibu kwangu Nakuita njiwa manga ndege mzuri unaevutia/umenitoa ukungu naona mpaka ndoto zinavyopita na njia Nahisi wingi wa amani moyo nahisi wivu/nahisi wingi wa mapenzi bado nitakula mbivu Safari itabakia kua hatua kufika inaitaji subra/umenifunga mboni nyuma sioni mbele umeifuta kudra Utabaki kua wangu Bora kesho leo imeshasonga mbele/ungekua wimbo ningekutunga na utulivu kuzikwepa kelele Naona M love imekita moyoni,zaidi ya tattoo ya kingdom piramids ilivyonata mwilini Njoo uya poze maumivu makali bado nahisi usiku silali/Upendo wangu umekua daraja anaekuja anavuka bila kujali Naona nuru nikitazama yako macho/wapi ulipo nambie nisipotee naizi chocho Nilirithi maridhi umekuja ewe mtabibu/Naomba tiba moyo utangoja majibu Karibu kilingine ufurahishe moyo wako/Mana nahisi wivu ulivyo nijaza hisia zako Niko jangwani nahisi kiu ya mapenzi/moyo taabani niionyeshe dira ewee malikia nilietamani kukuenzi Wangu wa ubavuni nyonga ishapata mkalia ini/niloweshe mapenzi chapa nilowe juu mpaka chini Utabaki kua hawa chaguo la Adam/Moyoni nahisi mapigo unavyo ya chezesha kwa zamu
Leave a comment
Naona upendo naona mengi naona ndoa/ewe malikia wa ndotoni kabla sijakuoa Nahisi kujengwa na upendo moyoni mwangu/safari ilishapata nauli msafiri karibu kwangu Nakuita njiwa manga ndege mzuri unaevutia/umenitoa ukungu naona mpaka ndoto zinavyopita na njia Nahisi wingi wa amani moyo nahisi wivu/nahisi wingi wa mapenzi bado nitakula mbivu Safari itabakia kua hatua kufika inaitaji subra/umenifunga mboni nyuma sioni mbele umeifuta kudra Utabaki kua wangu Bora kesho leo imeshasonga mbele/ungekua wimbo ningekutunga na utulivu kuzikwepa kelele Naona M love imekita moyoni,zaidi ya tattoo ya kingdom piramids ilivyonata mwilini Njoo uya poze maumivu makali bado nahisi usiku silali/Upendo wangu umekua daraja anaekuja anavuka bila kujali Naona nuru nikitazama yako macho/wapi ulipo nambie nisipotee naizi chocho Nilirithi maridhi umekuja ewe mtabibu/Naomba tiba moyo utangoja majibu Karibu kilingine ufurahishe moyo wako/Mana nahisi wivu ulivyo nijaza hisia zako Niko jangwani nahisi kiu ya mapenzi/moyo taabani niionyeshe dira ewee malikia nilietamani kukuenzi Wangu wa ubavuni nyonga ishapata mkalia ini/niloweshe mapenzi chapa nilowe juu mpaka chini Utabaki kua hawa chaguo la Adam/Moyoni nahisi mapigo unavyo ya chezesha kwa zamu
You may also like