Mgandi Msuko

The Story

Mgandi Msuko
The Story

9 Plays

20 Mar 2021

Thah Ex factor Nimebaki kua msimulizi nae simulia kila chapter ya kutendwa/nahisi nyota imezimwa machoni.. tele kiza nakusimulia ewe mlengwa Nipo jangwani sina dira moyoni umeifuta ramani/mpaka leo sina nguvu hamu imebaki moshi wa majani Hichi kitanzi cha mzongwa wa mawazo.. ...ewe malkia kutu umenidhuri mpaka afya/hii ni semister ya mateso lecture Bado naipiga chafya Umenipa funzo bila formula,,ewe mwalimu bora kwa hili somo/Nilitaka uwe mama princess mama Bora mama mwenye nyumba,leo kilio umekua mama mwenye shimo Safari ilikwenda mpaka kilele...kila mapigo mpaka usiku kelele/Oh my God huyu mwana msaliti Bado nahisi mbele kuipaga kengele Kwa hali ya ucholele na ukosefu wa mikwanjwa....nyuma ulikua ewe mpumbavu/ulikosa mpaka hazina,sura ya upole macho ya ujanja yalitikisa mpaka nyavu.. Leo umekwanda umepata umliki kwenye sector ya anasa/ Machozi kilio njia mpaka mashavuni,sihitaji counseling nipo na mrembo Mary Jane kwa sasa Heko umenifunza nisilo lijua..baada ya mikaa sita gerezani pingu umenifunga tambua/ Tambua ya kwamba wendo ulikua the x factor..mpaka bi mkuu fahamu alikujua... "Mi nacheza mpaka winga unazo cheza na wajinga.. Santuri naigonga nyuma Kama mzinga wa konyogi.... Ewee kunguri mkosa ghetto leo umalala jalalani,"mi ncheza mpaka winga unazo na wajinga. Tulijenga upendo Kama padri na malikia kwenye temple..kila malengo tulikamilisha mpaka kikomo/kweli majuto mjuu mwana kazama... Kwenye kidimbwi cha mali na zafaru za wazaramo

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like