kalii

57 Plays

11 Mar 2021

yeeh kutana na mc mwenye trap za kisoja wakin sleep watoto wanakula powder maixha ni cheap kitaa ndo anguvu ya soda tuna chase game bahati ni mara moja mguu shingo mguu net mguu chaga round hii majogoo yatataga plan b kwenye game ndo mswada wanted kila list NAwa mada tume madadem tumeforce hit hatutaki fame kwenye game niko fit tupo beng beng tunakata hayo ma piciii wakiona cross nying tuna rest in piece ukali wangu so kutoza jamii akili mali yakutunza fasihi kamba mbovu haiwez funga manii short kill kwenye rap

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like