Mãstër Mjûja

Heyman. (noma_official)

Mãstër Mjûja
Heyman. (noma_official)

4 Plays

20 Feb 2021

Rende ni wrong rende ya juja budah usikuje usiku utamadwa na musu maboys wako mashada kanusu na veve Fom zimejaa kwa malaga ngori kutupata ni noma ona vile unachoma picha ni kama unalipwa na chunga utamadwa Mada kwa mbulu ni mi nataftwa saana wanted na hawa mabanger wabaya na hawaskizi hekaya Budah naifanya ni kama nahama ngori ni vile nakula madawa uzuri nmeshona visawa Morio ukikuja huku kuvisit usidunge mbwenya alafu upitie karibu na ngive utamadwa Cheki nazoza mamorio wanadai kufeki kumbe ni shada na fegi itabidi kwanza mumedi Mziki ni ngumu lakini Kidenga ni noma beat naua na bado siringi natafta shilingi Cha muhimu nasaka ganji yaani ikibidi navuta bangi i mean hutanikosa kwa meza ya chedda Kunidiss wameanza juzi .uzuri nakuanga ready .wrong rende nachoma pedy Chini ya maji nikaua beat ya enga ,genge hairidhishi ,nikama biz hailipi Gava ishanipata inbox ,so usicheze na mimi..hapa ni mimi kusema kutenda Nisha ki corck budah ,payuka payuka kabla hujakufa Naifanya kijeshi ju already nishachoma commander Rende ni wrong rende ya juja budah usikuje usiku utamadwa na musu maboys wako mashada kanusu na veve Fom zimejaa kwa malaga ngori kutupata ni noma ona vile unachoma picha ni kama unalipwa na chunga utamadwa

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like