Kachu mC
Kachu mC

hawaNiweZi

hawaNiweZi

41 Plays

07 Feb 2021

hawaniwezi hawaniwezi hawaniwezi hao ×4 kwanza cheki wapo uwanja wao ila kila nnapopiga ninawafunga bao/ Nandomana skuizi mi spendi ku battle nao mana awachelewi kushtaki kwa wazazi wao/ Mashabiki wadai mi ndo mkali wao ndomana siwezi kuwaskiza wazushi shombo zao/ Tena mpaka spaa leo naluka nao naenda nao kivyovyote wanavyo taka wao/ Hawaniwezi hawaniwezi hawaniwezi hao ×4 Eti wanajiuliza mistari natoaga wapi wanabaki wanashangaa na jibu awapati/ Sina time na pic kali spagawi na shpapi mistari ni kama msosi ndani ya tumbo rafi/ Mwendo mpela mpela staki kupoteza wakati maisha yenyewe mafupi mambo ya bata please staki/ Fimbo nnazo nyingi ka mmasai au mman'gati kwanza nshagundua kumbe ni koko hamn'gati/ Hawaniwezi hawaniwezi hawaniwezi hao /

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like