Achuzy drugers
Achuzy drugers

chana bino......utaniw3za

chana bino......utaniw3za

28 Plays

01 Feb 2021

utaniw3za sifosi u young king yani vyovyote iwe nakuniangamiza komeni amuniwezi mie naona muna kesha roho juu munateseka usiku munakesha mwenzenu na vuta shuka. like better god kani blec mi wew wanini uwezi kucheka kingereza mbona uwamini nasio karaha kwenye shida naraha ndo mana napa juu kama masiha napa yani na manisha utaniweza kwel utaniweza mi utaniweza kwel utaniweza mi stop stop stop maneno komeni meni wengine sio mameni meni daftari lake peni munataka bato basi anzeni anzeni misio level zenu zenu pigeni miswaki midomo yenu kashinda neni na dada zenu na dago dago siwa elewi nainuka napangusa matako kusema na sema wambie na wenzangu mana hamunipi kipato eeeh

2 Comments

Leave a comment

1 year ago

Drip 💧

3 years ago

You may also like