sugar

29 Plays

01 Feb 2021

leo ninafraha nkitoka na shuga wangu babe pisi kali looh kufa kwa moyo wangu shuga wa masaki alo penda na shida zangu ana ziki ya madini na mungu atanipa yangu hilo penzi ulonipa sijawahi ona tangu ety babe unasema nivinjali wewe wangu umenipenda me nilivyo japo niliona ajabu hizi pisi za kijanja zinapenda mfuku mabuu kote we nishega japo sina diko ndani kwanza we ni msomi me sina cheti ndani ila ukujali hani ukanipenda siutani potabo kama nandy na ulivyo babe face twakomesha na nyamwezi babe kwetu watuwezi kwanza huni twende mbezi tukacheki na wazazi achana na bazazi wanaongea kusu penzi letu shuga mimi na we tutabaki yani vyetuvyetu ata wakiloga mungu atalinda penzi letu

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like