morgan

kiherehere kimbelembele

morgan
kiherehere kimbelembele

21 Plays

04 Jan 2021

yeah ,,,,,yeah yeah ,,,ooh yeah yeah ooh yeah ooooooh yeah ,,na I came yesterday buh I forget to tell you am coming the other day,,what I had about you I had no words to say , he kutamani jua kuna kutenda tena ukipenda jua iko kutenga,,nikikam tu jana jana nikakutana jana na jamaa ,hakua ananijua ju ya vile navaa alibaki tu ameshangaa coz alidhani haikua vile inafaaa hiyo ni kiherehere viherehere tuache. viherehere jamaa ukuiwa na bibi ya jirani tu ni kiherehe ukikula kw jirani ni kirehere ata akilipia nyumba ni kiherehe ata akikupea huezi nyamaza tu nikiherehere ma born tao wacheni kiherehere kama hamna dao hiyo haituhusu hatutaki kiherehere. kama hamdai kuchana ety nyii ni wa bika na novida acheni kiherehere sisi hatutaki kiherehere na mkicheza tutampaisha kindendege

2 Comments

Leave a comment

4 years ago

wtf is this crap?

You may also like