juja
Mãstër MjûjaJuja ni noma, ..magwete nyi ni matothi.. na mbogi ni noma Rende unaona apa rende ya juja rende ni noma Hii rende ya juja .budah ni noma rende imeomoka Rende unaona hapa si ndo wanagwaya Hii si ya kitoto nenda kabounce Mistari ni noma nenda uka browse Naona uelewi methali na ngeli We budah kwaheri Ukishafika bei ,shukuru mwenyezi Ukilipa madeni shukuru mwenyezi Ukipata ya mwezi shukuru mwenyezi Juja ni noma, ..magwete nyi ni matothi.. na mbogi ni noma Rende unaona apa rende ya juja rende ni noma Kuna mrazi anachochwa anakipaji Budah uko out si ndo twavalishwa taji Dangulo mkeka imetandikwa maganji Kwa streets tukibanje wanatii Kuna rapa anadai mkali Na mistari zake mboga mih nafinya na kasembe Umesare mbazuu sa unasaka wale maembe Budah utakoma na ukiendelea ntakuput in a comma One man lakini nawakilisha kama mbogi Juja ni noma, ..magwete nyi ni matothi.. na mbogi ni noma Rende unaona apa rende ya juja rende ni noma Na vile nadrip hao mangoko wanataka twende trip Nimekuja kupea wakenya measures niwakopeshe pesa na niwalipie deni iko china
Leave a comment
Juja ni noma, ..magwete nyi ni matothi.. na mbogi ni noma Rende unaona apa rende ya juja rende ni noma Hii rende ya juja .budah ni noma rende imeomoka Rende unaona hapa si ndo wanagwaya Hii si ya kitoto nenda kabounce Mistari ni noma nenda uka browse Naona uelewi methali na ngeli We budah kwaheri Ukishafika bei ,shukuru mwenyezi Ukilipa madeni shukuru mwenyezi Ukipata ya mwezi shukuru mwenyezi Juja ni noma, ..magwete nyi ni matothi.. na mbogi ni noma Rende unaona apa rende ya juja rende ni noma Kuna mrazi anachochwa anakipaji Budah uko out si ndo twavalishwa taji Dangulo mkeka imetandikwa maganji Kwa streets tukibanje wanatii Kuna rapa anadai mkali Na mistari zake mboga mih nafinya na kasembe Umesare mbazuu sa unasaka wale maembe Budah utakoma na ukiendelea ntakuput in a comma One man lakini nawakilisha kama mbogi Juja ni noma, ..magwete nyi ni matothi.. na mbogi ni noma Rende unaona apa rende ya juja rende ni noma Na vile nadrip hao mangoko wanataka twende trip Nimekuja kupea wakenya measures niwakopeshe pesa na niwalipie deni iko china
You may also like