frestyle

17 Plays

16 Dec 2020

hunter Nipe kisomo niwafiche hawa mafyatu kwenye rada hawaonekani ndugu zangu mtani weusi humzidi balaka na mpoki maneno Nome pangilia kwanza siropoki unaesema sipo serious kwanza una kula kwenu alafu unajikuta am genius msosi wa kengele acha kimbele mbele usijiganye unanijua sana kisa tu na kaa kibelewele fuck kutamba atambe kuku akifanya bata kachafua na mwaka huu mabua mpaka mtakapo gundua mpo kwenye mwezi au munatumia pempasi kuziba viraka vyenu hip hop halisi sikuping braza iddy japo wanasema naimba mini wakati kucha wana lia na haijulikani wana Lilia nini wapuuzi japo wanasema nimlanguzi nakula kaya tena braza wako mitupio mtoto wa bosi unavaa vibwaya.. hunter wambie sipo wanavyo fikiri tena mwambie sichagui biti na floor adi zikiri

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like