brave

mellow freestyles

brave
 mellow freestyles

20 Plays

15 Dec 2020

Kama kigosho ntazidi kuimba mwathani arogoshwo Na kama mpasho ntazidi kuwaskumia mistari kwa mbosho(media sosho) Napenda orosho mi hupiga raundi zikiwa kwa mbosho Kwetu ni kubaya utapata zinarolliwa hata kwa posho , Malaika wameweza kubeba wamebebea hata ukoo Napenda napenda kuchapa hzo pongi sipendi mitaro Mistari nachapa nazidi kuweka nazidi kuteka ma vidosho eiy 1, sipendi kuingiwa mbosho Sipendi kuingiwa mbosho Sipendi kuingiwa mbosho Juu unaeza pata tu ma orosho Orosho ni nini ? Imetoka wapy? Inaenda wapy? Maswali gani hzo*3 Orosho ni bangi Orosho ni ngwai Orosho ni lyf Orosho ni wife Siwezi mtema Ju najua mi nampenda Kama si ngwai hzi mistari singezichora Na bado mafans wangu mashabiki singewaroga Napenda hii beat inanipandisha na flow Napenda hii ngoma inanipeleka zone Nacheki ma ex wako kwa phone Wanadai niwadunge za macho bana Ooops mi si babako Mi si mamako Mimi ni Mellow Mimi ni nani Mellow Chorus Yoow cheki cheki cheki Mimi ni pedi. Pedi wa mapedi Napenda mashadda Juu mimi pedi Sipendi mathegi wanaeza kutoka boss Napenda mangeus Napenda mangeus Napenda hzo turi Nagonga hzo turi Juu nimeomoka Na nimeokoka Na siko muguka Napenda kumedi Nkiwa mashasha Natema mistari Nipate hzo mali Hakuna kuhate Kam tumake hzi money Sichoki na doh Napenda ma

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like