Freestyle 001

141 Plays

β€’

29 Nov 2020

First thing first God I thank the Almighty God Picasso Isa a rapp god yah still growin I see u like a maggot Listen to ma flowin method 254 is ma hood Hip-hop is ma food Rappin is ma hobby Ningekua mgeni ningebisha hodi Ila me nimwenyeji naijua terrain kama peddy I'm addicted to rapping Like Somalians to pirating This not the real thing Hommie nafanya microphone testing Geng geng Beng Beng Doremifasolatisoh Ka unashangaa this how I go Kipaza naganda nacho Sija anza juzi toka enzi za Pilato Nachana toka mwanzo Adi siku ya Sabatto Nakuwaga straight sipendagi za mikato Niko kwenye mchakato Naendaga na time ka shuttle Me hu erupt ka Volcano Be attentive uskize Michano I and I still nko kwenye mapambano Snitch chunga utakula kibano Giryama typically me sio mzaramo Malindi ndio baze lile jiji la michano I'm doin it on my way hadi wanasema si wao Macopy cat wanahema huku wakipiga miayo Watakubali tu Ka Mr Blu na allenaiyo Na collect returns ka zakayo Sinaga mengi tu nihayo Ukitaka nijua zaidi link kwenye bio Jaribu fuata nyayo Utapasuka Msamba Haujui meni kamanda Nadunda na beat kiujanja Wee unarapp kiushamba Haujui kuzipiga ata pamba Yeee skiza hii misambwanda

15 Comments

Leave a comment

Bars: Dope πŸ”₯ Delivery: Dope πŸ”₯ Impression: Dope πŸ”₯

3 years ago

Here are my scores: Bars: 10/10 Delivery: 10/10 Impression: 10/10 Bars: Perfect πŸ’― Delivery: Perfect πŸ’― Impression: Perfect πŸ’―

3 years ago

Here are my scores: Bars: 9/10 Delivery: 8/10 Impression: 8/10 Bars: Dope πŸ”₯ Delivery: Great πŸŽ‰ Impression: Great πŸŽ‰

You may also like