Mãstër Mjûja

biff na denga

Mãstër Mjûja
biff na denga

9 Plays

29 Nov 2020

Ni juzi lakini ni kama kitambo×2 Biff Ni Moto lakini na handle×2. Ni mimi kinara nangara sahara nabeba kidenga Hoody ni chafu lakini imeandikwa wasafi .tatoo ina drip ata mkinishika mashati Mtatii ni mm bazenga ata mkijifanya mababi Siulize alilala wapi linilala nayeye kwa kiti Natisha na bado kufika wa mbulu Natesa na hizi maluku Nkikateka 4 sure katapiga manduru Na later kaseme ni mimi mauru Denga ni yangu ..tafuta katoy ukacheze Biff ni yangu ww tafuta malenge Nyinyi marapa sitaki hizo kelele Nataka kitu inaeza skizwa kameme Walisema Heyman ninaringa sana Mbona unataka kubishana Hio ni udaku wasichana Na wale wenye nywele wanachana Bado nasonga, ugali na sosa, zote nimboga Ukitaka kuroga, usikule mamboga Tafuta marrapa , kwanza ukule madiss Na nyinyi colabo hamtapata Kwanza mwache kuvaa taptapa Ni mimi bazenga kwa gangstar Almost kutema ule wa monstar

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like